Serikali ya Tanzania ya ujibu Ubalozi wa Marekani

Kupitia Twitter ya US Embassy Tanzania na website wamechapisha tamko lao kuhusu uchaguzi wa marudio uliomalizika August 12, katika Kata 79 na Jimbo la Buyungu ambapo Mbunge wake alifariki.
 
Muda mfupi baada ya taarifa hiyo kusambaa Msemaji wa Serikali Dr. Hassan Abbas amesema Serikali inajiridhisha juu ya taarifa hiyo na watatoa tamko lao punde.

No comments

Powered by Blogger.