RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI CHUO CHA UONGOZI CHA MWALIMU JULIUS NYERERE KINACHOJENGWA KIBAHA KWA MFIPA MKOANI PWANI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri wa
uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao
wanne kutoka kushoto pamoja na Makatibu wa vyama vya, CCM, ANC, SWAPO,
ZANU-PF, MPLA, FRELIMO, wakiweka mchanga kama ishara ya uwekaji wa Jiwe
la msingi Ujenzi wa Chuo cha Mwalimu Julius Nyerere kinachojengwa katika
eneo la Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mgeni
wake Waziri wa uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China
(CPC) Song Tao wanne kutoka kushoto waliokaa, viongozi wa vyama vya ANC,
SWAPO,ZANU-PF, MPLA, FRELIMO pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama cha
Mapinduzi CCM mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha
Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la Kibaha
kwa mfipa mkoani Pwani. Chuo hicho kinajengwa na Chama cha Kikomunisti
cha China (CPC) kwa gharama ya Shilingi Bilioni mia moja(100).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni
wake Waziri wa uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China
(CPC) Song Tao kabla ya tukio la uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Chuo
cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la
Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja Sophia
Shaningwa Katibu wa Chama cha SWAPO kutoka nchini Namibia huku Waziri wa
uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao
akipiga makofi mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Chuo
cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la
Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma na Katibu wa
Chama cha SWAPO kutoka Namibia Sophia Shaningwa pamoja na Waziri wa
uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao
mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha
Mwalimu Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la Kibaha kwa mfipa
mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma na Waziri wa
uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao
mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha Mwalimu Julius
Nyerere kinachojengwa katika eneo la Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi kabla
ya ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Uongozi cha
Mwalimu Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la Kibaha kwa mfipa
mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mfano wa moja ya
majengo ya chuo hicho kitakapo kamilika kujengwa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kwa
wananchi(hawaonekani pichani) wakati akiwasili katika eneo
kitakapojengwa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere Kibaha kwa
mfipa mkoani Pwani.
No comments