Zari azidi kumuenzi Marehemu IVAN DON Kwa aina yake
Marehemu IVAN SEMWANGA ambaye ni IVAN DON pia alikuwa mzazi mwenza wa Zari leo imetimia mwaka mmjoa toka afariki dunia May 25 2017 katika hospitali ya Steve Biko Academic iliyoko Pretoria Afrika Kusini.
Zari the boss lady kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kumuenzi kwa kuposti picha tofauti tofauti akiwa na marehemu na posti hizo akiwa ameposti ni pamoja na akiwa na marehemu IVAN pamoja watoto na marafiki zake IVAN na Mama yake Mzazi na dada zake.
Zari ameandika Caption inayoseama.... “Mwaka mmoja umepita tokea uitwe mbele ya haki, Mungu amekuchukua nyumbani kwa mapenzi yake lakini mioyoni mwetu utaishi milele, ninachokifahamu ni kuwa hatupotezi wapendwa wetu kwenye kifo bali wanaendelea kushiriki katika maisha yetu ya kila siku kupitia maamuzi yetu tunayofikiria.”
“Mimi na wanao tunashukuru kujua kuwa maisha yetu yamekuwa katika mapenzi yako ,wale ambao tunawapenda huwa hawaondoki bali wanatembea pembeni yetu kila siku, hatuwaoni wala kuawaskia lakini wapo karibu yetu.
“Bado tunakupenda na tutazidi kukumbuka najua unatabasamu huko uliko katika mawingu ya neema ya Mungu Pumzika kwa Amani Don”

No comments