NAPE NNAUYE-"ukiambiwa jambo usilolipenda, wewe ndio kiongozi kubali"

Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye leo May 25 2018  akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka 2017/18.

Nape Nnauye anasema..."Mheshimiwa Mwenyekiti nimpongeze Kalemani bila kumumunya maneno lakini Kalemani ni katika mawaziri wasikivu ukimfuata anakusikiliza na Manaibu wake ni mawaziri wanyenyekevu"

"katika siasa ni vizuri kusikiliza hata yale tusopenda kuyasikia,Kalemani ni katika mawaziri yuko tayari kusikiliza hata yale tusopenda kuyasikia"-Mbunge Nape Nnauye

No comments

Powered by Blogger.