Naibu Waziri wa Kilimo, Mary Mwanjelwa amesema Serikali haiogopi kuwataja hadharani waliohusika kuingiza magunia ya korosho yenye mawe na kokoto na itawataja hadharani punde uchunguzi wa kina ukikamilika.
No comments