HIVI PUNDE: Magufuli amemteua Mizengo Pinda leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli May 25 2018 ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM amewateua aliyekuwa waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere kuwa wajumbe wa Halmashauri kuu Taifa CCM yani NEC.

Magufuli amefanya uteuzi huo kutumia mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa katiba ya CCM Toleo Mwaka 2017 na majina ya wateule hao yatawasilishwa katika kikao cha NEC kitakachofanyika May 28 2018jijini Dar Es Salaam.

 

No comments

Powered by Blogger.