Breaking: Mabilioni ya "Dr. Shika" yaingia Nchini, Mwenyewe atoa NENO
Dr.Shika ambaye hapo mwaka jana Tarehe 9 Nov alileta vurugu kwenye Mass Media kuvuruga mnada ametamka kuwa... "sikwenda kuvuruga mnada nilienda kununua nyumba hatukuelewana jinsi tufanye malipo,hela ambazo nilitamka kuwa ziko nje ya nchi,sasa zimeshatua kiasi kidogo hapa DSM tone la kwanza limetua kupitia kiwanja cha Julius Nyerere kuupeleka Eco Bank,PSPF tower lakini wakaupiga teke huu mzigo kwa kuamini mtaani kuna fedha feki kabla mvua haijanyesha "amesema Dr.Shika
pia Dr.Shika amesema kuwa..."nawaambia kwamba tutaelewana tu twende kidogo kidogo tutaelewana"
pia Dr.Shika amesema kuwa..."nawaambia kwamba tutaelewana tu twende kidogo kidogo tutaelewana"
No comments