Yanga leo ilikuwa mwenyeji wa Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu
na game ikamalizika kwa kufungana sare ya goli 1-1, goli la Singida
likifungwa dakika ya 2 ya mchezo na Papy Kambale lakini Yanga
walisawazisha dakika za nyongeza kipindi cha kwanza kupitia kwa Abdallah
Shaibu ‘Ninja’.
No comments