Serikali kujenga barabara za mwendo kasi...
Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jaffo
ameeleza Bungeni Dodoma kuwa serikali itatekeleza ujenzi wa awamu ya
pili na awamu tatu ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (DART)
”Awamu ya pili ya ujenzi wa miundombinu ya DART itahusisha barabara za Kilwa, Kawawa, Sokoine, Gerezani, Bandari na Chang’ombe ambazo zina urefu wa Km 20.3 na itagharimu jumla ya Dola za Marekani Milioni 141.71”- Seleman Jaffo

No comments