LIVE>>>Mazungumzo ya Rais Magufuli na Mstaafu Kikwete IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa anavutiwa na maisha ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete kwani baada ya kustaafu anaonekana kijana zaidi na anafanya mambo makubwa ya kulitumikia taifa letu na bara la Afrika.

 
Rais Magufuli amesema hayo leo Aprili 11, 2018 Ikulu jijini Dar es salaam alipokuwa akiongea kwenye uzinduzi wa Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (Jakaya Kikwete Foundation).

No comments

Powered by Blogger.