Spika Ndugai baada ya kusikia kuna Wabunge wametelekeza watoto
Spika wa Bunge Job Ndugai amelieleza Bunge kuwa wote waliotelekezewa watoto hao wanaweza kumuona ili ashughulikie suala hilo.
“Kuna zoezi linaendelea huko Dar es salaam sasa kidogo kiti cha Spika kimetikiswa hivi… tunatuhumiwa mahali kidogo, natarajia kupata ushauri wenu kama tunafanyaje katika hili maana kuna watoto wetu wapo barabarani na lazima tujue ni nini cha kufanya”

No comments