utani alioufanya Shetta kwa Mstaafu Kamanda Kova
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda
aliwataka wanawake wote waliotelekezwa na wanaume zao pamoja na watoto
wao wafike ofisini kwake ili wapate msaada wa kupata haki za kisheria.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Shetta ameonekana kutoa malalamiko yake ya kutelekezwa na Kamanda Kova baada ya picha yake na Kamanda Kova kusambaa katika mitandao ya kijamii na wengi kusema kuwa wamefanana na kuwa Kamanda Kova huenda akawa ndio baba mzazi wa Shetta.

No comments