Ali Kiba ameamua kuvuta jiko Mombasa nchini Kenya leo April 19,2018 ambapo kafunga ndoa rasmi na mke wake Amina Khalef Ahmed katika msikiti wa Ummul Kulthum na baadaye Reception(sherehe kamili) kufanyika Dar Es Salaam
No comments