Mara Chwaaaaaaahhh!!! Ali Kiba achukua jiko Mombasa
Ali kiba ameshafunga ndoa katika mskiti wa Ummul Kulthum Mombasa nchini Kenya akiwa ameozeshwa na sheikh Mohammed Kagera ambapo jina kamili la mke wa Ali Kiba ni Amina Khalef Ahmed na mishemishe bado zinaendelea Mombasa ambapo ndipo kwa wazazi wa mke wa Ali kiba huku watu wakisubiri sherehe itakayofanyika baadaye.
No comments