Ali Kiba aweka wazi uhusiano wake katika harusi yake

Ali Kiba ametoa siri kubwa kuhusu siku ya leo na kusema kuwa ni siku ambayo baba yake pamoja na mama yake walifunga pingu za maisha ambapo na yeye siku hii amefunga ndoa na mke wake Amina Khalef Ahmed Mombasa nchini Kenya.

Siku ya leo Ndio Siku Mama Yangu Na Baba Yangu walifunga Ndoa ALHAMDULILAH #KingKiba”
 

No comments

Powered by Blogger.