watoto 140 wauawa wakati mmoja kama sadaka wagundulika
Hivi karibuni wataalamu wamegundua kinachofikiriwa kuwa tukio kubwa zaidi la mauaji dhidi ya watoto kwenye historia ya dunia.
Inaelezwa pia sadaka ya watoto hao ilitolewa pamoja na aina ya miti ambayo ilikuwa michanga iliyojulikana kama Ilama siku hiyo hiyo waliouawa watoto.
No comments