Roma na Mkewe kwenye Send Off ya mchumba wa Stamina leo VIDEO

mchumba wa mwanamziki Stamina anayefahamika kwa jina la Veronica anafanyiwa Send Off Party inayofanyika mkoani Morogoro ambapo anatokea msanii Stamina huku harusi yao ikitegemewa kufanyika May 5, 2018

 

No comments

Powered by Blogger.