“Tukiwasema mnatupeleka Polisi lakini Rais akitukashifu….”-John Heche

 Mbunge wa Tarime vijijini John Heche amelalamika ndani ya Bunge kwamba Serikali imekuwa ikiwanyima uhuru wa kuzungumza baadhi ya viongozi na wanachama vya vyama vya upinzani na pale wanaoonekana kuzungumza kwa lengo la kuikosoa Serikali huishia kupelekwa Polisi na Mahakamani.

Sisi tukizungumza kuhusu nyie mnatupeleka Polisi lakini Rais akitukashifu sisi hatuna pa kuwapeleka, Ni lazima tuheshimiane na tuelewane-Heche

 

No comments

Powered by Blogger.