Alichoandika Dogo Janja baada ya kuvuja kwa video tata ya Nandy na Billnass +VIDEO




Nandy baada ya kuvuja kwa video hiyo alikiri kuwa ni yake na kuomba msamaha kwa mashabiki, familia yake na kila mmoja aliyechukizwa na video.

Nandy amekubali kuwa ni kweli video hiyo ilikuwa ni ya kwake na aliyewahi kuwa mpenzi wake Billnass na waliipiga mwaka 2016 kipindi wapo katika mahusiano lakini anashangaa kuona video hiyo ikiwa imevuja kwa sababu walikubaliana hata mahusiano yao yawe ya siri.
 

ishu ya Nandy na Billnass ila Dogo Janja ameamua kumtetea Nandy kwa kuandika ujumbe huu katika ukurasa wake wa instagram “Asiyekuchoka kwenye shida MUNGU atamlinda zaidi ili mcheke wote kwenye raha.. #MyRichFriend@officialnandy ❤️ #NoBodyIsPerfect>>> Dogo Janja


 

“Nilikuwa na mahusiano na Bill Nass mwaka 2016, nilikuwa na mahusiano na Bill Nas na tulikubaliana iwe siri, sasa sielewi kwa sababu gani kaamua kuvujisha, nimesikitishwa sana, ni video ambayo ilishutiwa kwa snapchat, sasa sielewi aliipataje hiyo video kwani ni lazima nimrushie ndio aipate, sijui niseme nini, Naomba radhi sana kwa familia yangu, kanisani kwangu, mashabiki serikali yangu kwa kweli video imenichefua sana mpaka hapa ninapoongea nimechefuka, ila adhabu ya maumivu ninayoipata sasa hivi ni kutokana na kumuamini mwenzangu,“amesema Nandy alipokuwa akihojiwa na MCL digital.

Billnas na yeye amemgeuka Nandy na kudai Nandy ndio anahusika nakuiweka video ile mtandaoni kwani yeye ndio aliichukua kwa simu yake na hakuwahi kumuomba amtumie:

No comments

Powered by Blogger.