Simba vs Mbeya City April 12 VIDEO
Simba wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Mbeya City,
magoli ya Simba yakifungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 17, Asante Kwasi
dakika ya 32 na John Bocco dakika ya 35, ushindi huo umemfanya Simba
aendelee kuongoza Ligi kwa tofauti ya point 8 dhidi ya Yanga
wanaofuatia kwa kuwa na point 47 ila Simba kaizidi Yanga mchezo mmoja.
No comments