Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu
Professor Jay baada ya kupewa nafasi ya kuchangia mapendekezo yake
katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano ambapo akaamua kuingiza style za kurap baada ya kupewa
dakika chache
No comments