Mzee Majuto azidiwa, arudishwa tena Hospitali kwa tatizo jingine kwenda kutibiwa India


Wasanii wa Bongo Movie wakiongozwa na Steve Nyerere kwa Pamoja wamekwenda hospitali aliyolazwa muigizaji mkongwe mzee Majuto kwa lengo la kumuona na kumpa faraja katika kipindi hiki ambapo amelazwa katika hospitali hiyo.

“Ni kweli tumepata ticket mbili za Mzee wetu kwenda kutibiwa India na siku ya kesho tutakamilisha huo utaratibu wote na sisi tunajaliana kwenye shida tuache haya makundi ya ajabu ajabu kama tunataka kutengeneza Industry lazima tukubaliane wote tuache porojo hazijengi Industry ila zinakandamiza” – Steve Nyerere

 

No comments

Powered by Blogger.