Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula ni
miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapendekezo katika
makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano ambapo ameishauri Serikali kuwekeza zaidi katika sekta ya
barabara
No comments