Ushauri wa Halima Bulembo kwa Wapinzani “hawana hoja”

Mbunge wa viti maalum CCM Halima Bulembo amewashauri wanachama wa upinzani wakiwemo wabunge kuacha kumdhoofisha Rais Magufuli kwakuwa anatekeleza ilani za zote za vyama ambazo walikuw awakizinadi wakati wa kampeni hivyo wapinzani wote wahame vyama vyao

No comments

Powered by Blogger.