“Kinachonishikitisha ni ahadi ya mwelekeo” –Hussein Bashe

inakukutanisha na Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe amesema kwamba anashangazwa na Serikali kuhusu mpangilio wa ujenzi wa reli ya kati ambao ni tofauti na mpango ahadi zilizotolewa wakati wa uchaguzi.
 
Mimi naunga mkono ujenzi wa reli ya kisasa lakini kinachonisikitisha ni mabadiliko ya mwelekeo, ahadi yetu ya uchaguzi ilikuwa ni kutoka Dar es salaam kwenda Tabora, Mwanza, Tabora kwenda Kigoma, Uvinza kwenda Msongati n.k

 

No comments

Powered by Blogger.