“R.I.P Bongo Movie acha nipambane zangu “>>>Wolper

 Msanii wa Bongo movie Jacqueline Wolper ameonesha kukubali kushindwa kwenye upande wa filamu na hatimaye kuamua kuwekeza nguvu zake nyingi kwenye upande ushonaji

“Natamani Bongo movie Tupendane saana yani saaaaana, kiukweli na siyo kinafki kiasi kwamba hata mtu akitokea akamuongelea bongo movie vibaya basi wote tusimame nae paka ajute kwanini kafanya hlo tukio, lakini maskin ya Mungu mchawi wetu kafa atujui kaburi lake tukamuombe radhi atusamehe tuwe huru..
 
“Yani Mtu akikosea ndio kwanza tunakandamiza na kuonyesha wasioliona lile kosa ichi ni kilio na ni msiba mkubwa R.i.p Bongo movie. Acha nipambane na cherehani zangu niangalie ni jinsi gani nakomboa mafundi cherehani na Tuheshimike Tanzania hope Mafundi cherehani amtoniangusha na amtokua wanafki 🙏.” Jacqueline Wolper
 

No comments

Powered by Blogger.