Wasanii wa Bongo walioshinda Tuzo za Hipipo Uganda
Tuzo za Hipipo ambazo zinatolewaga kila mwaka nchini humo na kwa siku ya jana zilitolewa katika Ukumbi wa Serena Hotel ya Uganda na Watanzania wanne ambao ni Alikiba, Vanessa Mdee, Diamond na Darassa wameibuka washindi kwenye baadhi ya vipengele..
Alikiba ameibuka mshindi katika kipengele cha Wimbo bora wa mwaka Tanzania Seduce Me, Diamond ameshinda kipengele cha wimbo bora wa mwaka Afrika Marry You, Vanessa ameshinda Msanii bora wa kike Africa Mashariki na Darassa ameshinda kipengele cha Wimbo ulio-hit Afrika Mashariki Muziki… (East Africa Super Hit)
Baadhi ya Vipengele hivyo….
AFRICA
Africa Song of the Year => Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo – Marry You Africa Video of the Year => Mafikizolo – Love Potion Best Francophone Africa Act => Toofan – Terre Africa Best Female Artist => Tiwa Savage Best Song from Western Africa => Davido – IF Best Song from Southern => Africa Roberto – Into You
East Africa Song of the Year => Kenya Nyashinski – Malaika Song of the Year Tanzania => AliKiba – Seduce Me Song of the Year Rwanda => Meddy – Slowly Rwanda Video of the Year => Butera Knowless – Uzagaruke East Africa Super Hit => Darassa Ft. Ben Pol – Muziki East Africa Best Video => Diamond Platnumz – Eneka East Africa Best Breakthrough Artist => Bruce Melodie Best East African Collabo => Sheebah Ft. The Ben – Binkolera East Africa Best Female Artist => Vanessa Mdee
No comments