Ujumbe aliopewa Dr Tulia kwenda kwa Rais Magufuli

  
Naibu Spika Dr Tulia Ackson na watu wake kwenye ziara aliyoifanya katika maeneo mbalimbali mkoani humo lengo likiwa ni kutatua baadhi ya changamoto na hapa alifika katika kata ya Kawetele mkoani humo ambapo Wananchi hawakukubali kumuacha hivi hivi na badala yake wakampa ujumbe wa kumfikishia Rais John Pombe Magufuli.

 

No comments

Powered by Blogger.