Magari ya kifahari yalivyoangukiwa na mti hotelini
March 19, 2018 ni ya mti mkubwa ambao umeanguka katika hoteli ya kifahari ya Serena jijini Nairobi siku ya Jumamosi, umesababisha hasara ya Mamilioni ya pesa. Mti huo aina ya mkaratusi uliharibu magari ya thamani ya wateja waliokuwa wametembelea hoteli hiyo ya kifahari na kuyaachwa yakiwa katika hali mbaya.
Magari aina za Prado na Mercedes Bens S-Classs ni baadhi ya magari yaliyoharibiwa kwa kuangukiwa na mti huo.
Tanzania inashika nafasi Pili katika kuwashirikisha Wanawake katika Uongozi
No comments