“Wahubiri wawaeleze Watanzania tunapoteza Bilioni 500"JPM (+video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli
amewataka wahubiri badala ya kuhubiri mambo mengine, wahubiri kuhusu
ujenzi wa viwanda vya dawa nchini ili Tanzania isinunue dawa nje ya
nchi.
“Wahubiri wawaeleze Watanzania kuwa tunapoteza Bilioni 500 kila mwaka kununua madawa wakati tungekuwa tunatengeneza nchini zingebaki hapa, tunalalamikia mengine” -Rais Magufuli
“Fedha ambazo zimetengwa kununulia dawa ni zaidi ya Bilioni 500, katika dawa hizo zote asilimia 6 tu ndio zinanunuliwa Tanzania, asilimia 94 zinanunuliwa nje ya nchi” Rais Magufuli

No comments