MOTO AIRPORT DSM

Wafanyakazi na Wasamaria waliokua Airport DSM usiku huu wamefanikiwa kuzima moto uliozuka kwenye Ofisi ya Precision AIR.
_
Ofisi hiyo tayari ilikua imefungwa na Wafanyakazi wameondoka ikalazimika kuvunja vioo ili kuuzima moto

No comments

Powered by Blogger.