Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi,
Abdul Nondo amesimamishwa masomo Chuo Kikuu cha Dar, hadi kesi yake
itakapoisha, Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof William Anangisye
amethibitisha. Nondo amesimamishwa kuanzia March 26 kwa barua iliyoandikwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa William Anangisye.
No comments