JPM Magufuli ameagiza kusimamishwa KAZI Wakurugenzi Wawili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli
amemuagiza Waziri wa TAMISEMI Seleman Jafo kuwasimamisha kazi
Wakurugenzi wawili wa Kigoma Ujiji na Pangani kwa sababu ya kupata hati
chafu katika ripoti ya CAG iliyowasilishwa leo Ikulu.
“Kuna Wilaya mbili, Halmashauri Mbili zina hati chafu, Mimi nafikiri Kigoma Ujiji na Pangani, Mimi nafikiri saa nyingine tuchukue hatua kwa vile Waziri wa TAMISEMI upo hapa WAKURUGENZI wa Wilaya hizo WASIMAMISHWE kazi leo” -Rais Magufuli

"Kuna Wilaya mbili, Halmashauri Mbili zina hati chafu, Mimi nafikiri Kigoma Ujiji na Pangani, Mimi nafikiri saa nyingine tuchukue hatua kwa vile Waziri wa TAMISEMI upo hapa WAKURUGENZI wa Wilaya hizo WASIMAMISHWE kazi leo" -Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/OyC8Ytrteq— millardayo (@millardayo_) March 27, 2018
No comments