”Siko vizuri Kiakili, Barua Nimeona kwenye Mitandao”- Nondo

Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi Tanzania Abdul Nondo ameongea na waandishi wa habari baada ya kufika Jijini Dar es salaam akiwa natokea mkoani Iringa ambapo alikuwa anakabiliwa na mashtaka katika Mahakama ya Hakimu mkazi Wilaya ya Iringa.

No comments

Powered by Blogger.