Kauli ya Uongozi UDSM kuhusu kusimamishwa Chuo kwa Abdul Nondo
Chuo Kikuu cha Dar es salaam kimesema kuwa kimemsimamisha chuo Abdul
Nondo kufuatana na kanuni za chuo za wanafunzi ambazo zinasema kuwa kama
mwanafunzi atafikishwa mahakamani kwa tuhuma zozote inabidi asimamishwe
masomo mpaka hapo kesi yake itakapomalizika na atakapopatikana hana
hatia atarudishwa masomoni
No comments