WIMBO HUU NI MAALUM KWA MWANAFUNZI ALIYEPIGWA RISASI NA POLISI>>> MAJONZI
WIMBO HUU NI MAALUM KWA MWANAFUNZI ALIYEPIGWA RISAI,BOFYA PLAY CHINI HAPA KUSIKILIZA
Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT).Natoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu.Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili-JPM pic.twitter.com/NveAoiHvYN— millardayo (@millardayo_) February 18, 2018
“Serikali imepata pigo kwani inawekeza fedha nyingi kusomesha Wanafunzi na marehemu Akwilina alikuwa ni miongoni mwa wanufaika wa mikopo, tutagharamia shughuli zote za mazishi ya marehemu hadi atakapopumzishwa katika makao yake ya milele"-Prof. Ndalichako #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/AcqwQoCm7s— millardayo (@millardayo_) February 18, 2018
Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Serikali itagharamia msiba wa Mwanafunzi wa Chuo cha NIT, Akwilina Maftah#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/svyW7C5Ldc— millardayo (@millardayo_) February 18, 2018
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako leo amefika nyumbani kwa Dada yake Marehemu Akwilina, Mbezi mwisho katika Wilaya ya Ubungo kwa ajili ya kuwafariji wafiwa.#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/kvijXsvBqM— millardayo (@millardayo_) February 18, 2018
Jeshi la Polisi Dar es salaam limesema idadi ya Wafuasi wa CHADEMA waliokamatwa na wanaoshikiliwa mpaka sasa kwa kuandamana ktk Uchaguzi wa marudio ni 40. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/i0mnEzp3D0— millardayo (@millardayo_) February 18, 2018
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM Lazaro Mambosasa amesema wanamtafuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikael Mbowe ili wamfikishe katika vyombo vya sheria.#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/Vqt0G0ieym— millardayo (@millardayo_) February 18, 2018
BBC Swahili - Mwanafunzi afariki baada ya kupigwa risasi Tanzania https://t.co/ogLMfJ0dKi— ❤💞❤ (@Sheriiimaria) February 17, 2018
No comments