"Uchaguzi huu hautapita bure bure”>>> Naibu Waziri Mambo ya Ndani

February 18,Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa Mwanafunzi wa NIT utafanyika haraka iwekezanavyo kwa weledi na utaalamu ili haki itendeke.

 “Tutafanya uchunguzi na kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakaobainika kuhusika na tukio hilo, Serikali tunasikitishwa na kifo cha mwanafunzi Huyu, pia na majeruhi ya raia na askari Polisi wawili,” -Masauni.

 

No comments

Powered by Blogger.