“Kuhusu ni lini atazikwa tunasubiri tamko la Jeshi la Polisi, walisema mwili unafanyiwa uchunguzi na watatupa majibu Jumatatu, tumemuomba Waziri haki itendekee, Akwilina alitamani sana aje amsaidie mama yake, alisema atasoma sana,” -Dada Yake Akwilina
No comments