Dr Mollel baada ya ushindi wa Ubunge Siha, kapita kata nne
jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro kulifanyika uchaguzi mdogo na mgombea Ubunge kupitia tiketi ya CCM Dr Godwin Mollel alifanikiwa kuibuka mshindi wa Ubunge kwa kupata jumla ya kura 25611.
baada ya ushindi huo ameamua kupita kwenye kata nne kwa ajili ya kushukuru na kusema kuwa hatofanya sherehe kama wabunge wengine wanavyofanya baada ya kutangazwa washindi, bali atafanya shughuli za maendeleo kama sehemu ya sherehe yake.
Dr Mollel katika kata ya Nduimet ameahidi kutoa mabati 200 yatakayosaidia kukamilisha ujenzi wa darasa la shule ya Lemushu

No comments