kundi la WCB limefanya utambulisho mwingine wa pili wa msanii Mbosso katika uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke DSM ambapo wasanii wote wa WCB wali-perform na moja ya wasanii hao ni LAVALAVA ambaye alitoa burudani katika viwanja hivyo
No comments