February 4, 2018 kundi la WCB limefanya utambulisho mwingine wa pili wa msanii Mbosso katika uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke Dar es salaam ambapo wasanii wote wa WCB wali-perform na moja ya wasanii hao ni President wa WCB DIAMOND PLATNUMZ ambaye alitoa burudani katika viwanja hivyo.
No comments