Baunsa wa Diamond amwagiwa maji jukwaani na suti zake

Baunsa maarufu anaye mlinda msanii Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter February 4, ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa ambapo Harmonize alimuita kwenye stage na kisha kumwagia maji na kumuimbia wimbo wa Happy Birthday, Bonyeza play hapa chini kutazama ilivyokuwa.

No comments

Powered by Blogger.