Waziri Ndalichako alipotembelea Maktaba ya Chuo Kikuu DSM

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo Prof. Joyce Ndalichako akishirikiana na Balozi wa China wametembelea maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

 Pia Waziri Ndalichako ameupongeza ujenzi huo wa maktaba uliofadhiliwa na Wachina na kusema maktaba hiyo itakuwa kubwa Afrika na ina uwezo wa kuchukua wanafunzi 2100 na inauwezo wa kuweka vitabu laki nane  
 “Prof Ndalichako si ungekuwa Waziri wa masifuri?” –Mbunge Goodluck Mlinga

 

No comments

Powered by Blogger.