Hamisa Mobetto kafunguka Mahakama kumsuluhisha na Diamond 'Ugomvi wa familia uacheni tu'
Alichozungumza Diamond Platnumz baada ya Kesi yake na Hamisa
February 9,2018 bado nakusogezea stori ambayo inatrend kwenye mitandao ya kijamii na hii ni kutoka kwenye fan page ya Zari the boss lady inayotumia jina la Zarithe_ kupost picha ya Zari pamoja na Esma Platnumz.
Kupitia fan page ya Zarithe_ ambayo ni account ya instagram inayoendeshwa na shabiki ilipost picha ya Zari akiwa na wifi yake Esma na kuandika ” #tbt @zarithebosslady akiwa na mnafki 😂😂😂 akili zangu ndo zilivyoamka Leo”
“huwa naskia burudani sana mnaponiweka katika pages zenu tena mnafki mbwa kabisa tena mbwa koko”
Story zinazoenea chini kwa chini zinaeleza kuwa Zari na familia ya Diamond akiwemo Esma hawapo sawa toka Esma aonekane akiwa karibu na Wema Sepetu ambaye ni mpenzi wa zamani wa Diamond, hiyo pia ndio inadaiwa kuwa ni sababu ya Zari kutokumpost Esma wakati wa birthday yake na kumtakia kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa.
No comments