Uchunguzi wa TRA kwa Askofu Kakobe “Kuna BILIONI 8” (FULL VIDEO)
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere amesema wamebaini kuwa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) linaloongozwa na Askofu linatunza kiasi kikubwa cha fedha kwenye ndoo kinyume na taratibu za utunzaji fedha.
“Tumefanya uchunguzi kuhusu ile kauli kuwa ana pesa kuliko Serikali, tulichobaini kwanza ni kwamba Askofu Kakobe hana fedha wala akaunti katika Taasisi yoyote ya kifedha hapa nchini, ila ni mmoja ya Wasimamizi wa kuu wa akaunti za Kanisa la {FGBF}” -Kichere
“ASKOFU KAKOBE AMEMUOMBA RAIS MAGUFULI MSAMAHA” -TRA

No comments