Bajeti ya Msiba ya Milioni 80 yazungumziwa na Familia ya Akwilina


Festo Kawishe ni Msemaji wa Familia ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini ambapo leo February 20, 2018 wamesema mazishi ya mwanafunzi huyo yatagharimu Shilingi Milioni 80. 

 
  


No comments

Powered by Blogger.