Idadi ya watu waliofariki kwa kipindupindu Dodoma ndani ya siku 150 yazidi Kuongezeka

Watu 20 wamefariki dunia mkoani humo kufuatia kuzuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kuanzia mwezi October mwaka jana wakati na wengine 471 wakiripotiwa kutibiwa hospitalini. 

 Mganga mkuu wa mkoa Dr James Kiologwe amesema idadi ya wagonjwa imezidi kuongezeka huku kwa siku ya jana pekee walipokea jumla ya wagonjwa kumi katika vituo vya afya na hospitali mbalimbali za mkoani humo .

 

No comments

Powered by Blogger.