Unampango kwenda World Cup 2018 Urusi?
fainali za michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika mwaka 2018 nchini Urusi, Shirikisho la soka Tanzania TFF leo kupitia kwa afisa habari wake Cliford Ndimbo limetangaza kuwa shirikisho la soka Ulimwenguni
FIFA limeongeza idaidi ya tiketi. FIFA imeongeza idadi ya tiketi kwa watanzania ambao wanampango wa kwenda Urusi kutazama fainali za michuano ya Kombe la dunia 2o18 nchini Urusi, baada ya zile tiketi 290 za mwanzo zilizotolewa kumalizika zote
No comments