Kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa Risasi,watu maarufu waguswa,kamanda athibitisha

Taarifa ambayo inashika headlines katika Mitandao ya Kijamii ni ya kifo cha Mwanafunzi wa Chuo cha NIT Aquillina Akwilini aliyepigwa risasi kifuani na Polisi na kupoteza maisha jana February 16, 2018 akiwa kwenye daladala zinaendelea kuenea kwenye mitandao ya kijamii.

 Inaelezwa kuwa tukio hilo lilitokea wakati Askari Polisi wakiwatawanya wafuasi wa upinzani waliokuwa wakifanya maandamano katika eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam. Watu maarufu mbalimbali wameandika kwenye mitandao yao ya kijamii na kuonesha kuguswa na tukio hilo la kuuawa kwa Binti huyo.
 

Izzo Bizness, Feza Kessy na Steve Rnb wameandika kwenye mitandao yao ya kijamii na kuonesha kuguswa na tukio hilo la kuuawa kwa Binti huyo.
 
A post shared by SAA SITA (@izzo_biznesss) on


No comments

Powered by Blogger.