Bonge la Collabo Kinondoni,hapa Ruge pale Diamond’ Mtulia

Alikuwa Mbunge Kinondoni akaacha Maulid Mtulia sasa anagombea tena katika Jimbo hilo ikiwa saivi anagombea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ,alifunga kampeni katika uchaguzi unaofanyika leo.

 Akinadi sera zake amewataka Wakazi wa Kinondoni kumuamini na ataboresha Maisha ya wananchi ikiwa ni kuwapa mikopo ya aina mbalimbali, nimekusogezea Dakika 5 za Mtulia akiwa katika Jukwaa.

  “Chama changu sio cha ulalamishi na hata kama kikiona hakikutendewa haki huwa kinafuata njia za kisheria kwa kufungua kesi Mahakamani kulalamikia matokeo lakini tutayakubali matokeo yeyote yatakayo kuja jioni” -Mtulia 

   

"UKIMUONA NI MDOGO LAKINI CHUMA CHA MKOLONI -DR. MOLEL

 

No comments

Powered by Blogger.